Taarifa muhimu Sekretarieti ya Ajira

Taarifa muhimu Sekretarieti ya Ajira Utumishi

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Kwa waombaji wote waliotwa kwenye usaili, mnakumbushwa kuhusu utaratibu wa majina kwenye vyeti vyenu:

Kama kuna tofauti ya herufi, ufuipisho wa jina au matumizi ya majina mawili katika vyeti vya taaluma huku katika cheti cha kuzaliwa/Kitambulisho cha taifa au mpiga kura yapo matatu ambayo yamebeba mawili yanaoonekana katika vyeti vya taaluma, unapaswa kuwasilisha kiapo cha jina (Affidavit).

Majina tofauti, kuongezeka kwa jina, kubadilika kwa jina la ukoo au baba au lolote au yote, kuunganishwa kwa majina mawili, unapaswa kuwasilisha Hati ya kubadilisha jina (Deed Poll) iliyosajiliwa.
Taarifa muhimu Sekretarieti ya Ajira
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom