TAARIFA: YANGA SC Yatangaza Kuachana na Kocha Mkuu Angel Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi Moussa..

TAARIFA: YANGA SC Yatangaza Kuachana na Kocha Mkuu Angel Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi Moussa..

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,648
Uongozi wa Young Africans Sports Club (Yanga) umetangaza rasmi kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Angel Miguel Gamondi, pamoja na Kocha Msaidizi, Moussa Ndaw. Taarifa hii imetolewa leo, tarehe 14 Novemba 2024.
TAARIFA: YANGA SC Yatangaza Kuachana na Kocha Mkuu Angel Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi Moussa..

Kupitia taarifa yao, Yanga imewashukuru makocha hao kwa mchango wao katika timu na kuwatakia kila la heri wanapoendelea na safari zao za soka. "Tunawashukuru sana kwa juhudi na kujitoa kwao ndani ya klabu yetu na tunawatakia mafanikio katika majukumu yao yajayo."

Klabu imewahakikishia mashabiki kuwa mchakato wa kutafuta kocha mpya na msaidizi wake tayari umeanza na unatarajiwa kukamilika muda si mrefu.

Kwa kauli mbiu yao ya "Daima Mbele Nyuma Mwiko," Yanga inaendelea na malengo ya kusonga mbele kwa nguvu zaidi huku ikiimarisha kikosi chao kwa ajili ya mashindano ya ndani na kimataifa.
 
Back
Top Bottom