TAHADHARI: KUHUSU RUZUKU YA URAIS, SERIKALI INAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA HII AMBAYO IMETENGENEZWA NA WAHALIFU

TAHADHARI: KUHUSU RUZUKU YA URAIS, SERIKALI INAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA HII AMBAYO IMETENGENEZWA NA WAHALIFU

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,575
Wananchi mnatadharishwa kuwepo kwa mtandao wa kitapeli unaopatikana katika kiunganishi cha "grant-tanzania" ambao umeandikwa "RUZUKU YA URAIS Rais ameidhinisha kiasi cha ruzuku cha TZS100,000 kulipwa kwa wananchi wote. Nimepata yangu tu."

SERIKALI INAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA HII AMBAYO IMETENGENEZWA NA WAHALIFU.
TAHADHARI: KUHUSU RUZUKU YA URAIS, SERIKALI INAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA HII AMBAYO IMETENGENEZWA NA WAHALIFU

Aidha, wananchi mnaombwa kujiepusha kusambaza taarifa hii na kiunganishi hicho kwa kuwa kwa kufanya hivyo utakuwa umeshiriki uhalifu.

Hakuna ruzuku ya shilingi 100,000/- inayotolewa na Rais kwa wananchi wote.

Wahalifu waliotengeneza tangazo hili wanatafutwa ili hatua za kisheria zichukuliwe.
RUZUKU YA URAIS GRANT TANZANIA

Gerson Msigwa
Katibu Mkuu Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom