- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Takwimu za Al Hilal Omdurman msimu wa 2024/2025 hadi kufikia sasa.
Mechi inayofuata ni Dhidi Ya Young Africans Sports Club
- Imecheza mechi 17
- Imeshinda 11
- Imepoteza 1
- Imetoka sale 5.
- Mabao ya kufunga 28
- Mabao ya kufungwa 9.
Mechi inayofuata ni Dhidi Ya Young Africans Sports Club