Takwimu Za Al Hilal Omdurman Msimu

Takwimu Za Al Hilal Omdurman Msimu 2024/2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Takwimu za Al Hilal Omdurman msimu wa 2024/2025 hadi kufikia sasa.
FB_IMG_1736318569410.webp

  • Imecheza mechi 17
  • Imeshinda 11
  • Imepoteza 1
  • Imetoka sale 5.
  • Mabao ya kufunga 28
  • Mabao ya kufungwa 9.
●Takwimu hizi ni kuanzia hatua ya mchujo michuano ya klabu bingwa ambapo Al Hilal ilianzia hatua ya awali dhidi ya Al ahly Benghazi mwezi wa Agasti 18. 2024.

Mechi inayofuata ni Dhidi Ya Young Africans Sports Club
 
Back
Top Bottom