Kupitia mradi huu, OWM - TAMISEMI inatangaza nafasi za kujitolea kwa walimu 1,500 wa Shule za Sekondari zilizopo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa zenye uhitaji mkubwa zaidi kwa kuzingatia utaratibu wa kupanga walimu wa Shule za Sekondari (Secondary Teacher Allocation protocol (S – TAP).
Pakua PDF hapo chini.
Mfumo wa maombi ya ajira kujitolea Tamisemi
ajira.tamisemi.go.tz
Pakua PDF hapo chini.
Mfumo wa maombi ya ajira kujitolea Tamisemi
Download PDF