Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali katika Utumishi wa Bunge waliotajwa katika Tangazo hili kwamba, walifaulu kushinda waombaji kazi wenzao kwenye usaili uliofanyika tarehe 20 - 23 Disemba, 2025 katika Ofisi za Bunge Dodoma. Hivyo, wahusika wanaarifiwa kwamba wanatakiwa kuripoti kazini Ofisi ya Bunge Dodoma ifikapo tarehe 05 Januari, 2026 kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira zao na kupangiwa kazi.
Pakua hapo chini PDF.
Pakua hapo chini PDF.
Download PDF