TANGAZO LA KUITWA KAZINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA 18-11-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA 18-11-2025 JWTZ JKT Walioitwa

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioiitwa kazini JWTZ Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania na JKT Jeshi la Kujenga Taifa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Pakua PDF hapa
TANGAZO LA KUITWA KAZINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA 18-11-2025
 
Back
Top Bottom