TANGAZO LA KUITWA KAZINI NAFASI ZA KUJITOLEA SHULE ZA MSINGI KADA YA ELIMU MRADI WA GPE - TSP

TANGAZO LA KUITWA KAZINI NAFASI ZA KUJITOLEA SHULE ZA MSINGI KADA YA ELIMU MRADI WA GPE - TSP Walimu Walioitwa kaz

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za walimu wa kujitolea katika Shule za Msingi ambao walifanya maombi kati ya tarehe 17 – 30 Mei, 2025 kuwa majina ya waombaji waliokidhi vigezo yanapatikana katika tovuti: tamisemi.go.tz

Aidha, walimu waliokidhi vigezo, wanatakiwa kuripoti kwa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo shule walizoomba kuanzia tarehe 18 hadi 31 Agosti, 2025 kwa ajili ya kujaza Mkataba wa Ajira ya Walimu wa Kujitolea na Mwajiri pamoja na kupatiwa barua za kupangwa kituo cha kazi. Tafadhali fika na Vyeti Halisi (Originals Certificates). Walimu ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI NAFASI ZA KUJITOLEA SHULE ZA MSINGI KADA YA ELIMU MRADI WA GPE - TSP

Pakua PDF hapa chini
 

Download PDF

Back
Top Bottom