TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 01-10-2025 PDF 2

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 01-10-2025 PDF 2 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, afya na kada mbalimbali Kumb. Na. JA. 9/ 18/01" D"/61 01/10/2025TANGAZO LA KUITWA KAZINIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-01-2025 na tarehe 13-08-2025kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyekanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada yanafasi kupatikana.

Pakua PDF hapo chini.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 01-10-2025 PDF 2
 

Download PDF

Back
Top Bottom