Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, afya na kada mbalimbali Kumb. Na. JA. 9/ 18/01" D"/61 01/10/2025TANGAZO LA KUITWA KAZINIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-01-2025 na tarehe 13-08-2025kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyekanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada yanafasi kupatikana.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Maswali ya Usaili System Admin
2025 Interview PDF
Nafasi za Kazi NBC Nyanza
01-10-2025
Download PDF