TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-07-2025 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Haya hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wanafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeoya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha yamajina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwakada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikanaWasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwavituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya MyApplications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo naKwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Pakua PDF hapa.
Na
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-07-2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom