TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-05-2026

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-05-2026 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 18-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Pakua PDF hapa.
1. https://www.ajira.go.tz/baseattachm...0261805421347TANGAZO LA KUITWA KAZINI 16.pdf
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-05-2026
 
Back
Top Bottom