TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-12-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-12-2025 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-06-2025 na tarehe 22-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Pakua PDF hapo chini.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-12-2025
 

Download PDF

Back
Top Bottom