Haya hapa majina ya walioitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 20-01-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 22-12-2025kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyekanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada yanafasi kupatikana.
Pakua PDF hapa.
Na hapa
Na hii
Pakua PDF hapa.
Na hapa
Na hii
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI JKT TANZANIA
20-01-2026