Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Afya, walimu na taasisi mbalimbali Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-06-2024 na tarehe 15-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Angalia walioitwa kazini ajira portal PDF.
Angalia walioitwa kazini ajira portal PDF.
Nafasi za Kazi I&M Bank (T) Limited
20-05-2025
Nafasi za Kazi TEDI Tanzania
21-05-2025
Last edited: