Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 30-12-2025Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-01-2025 na tarehe 24-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF 2 hapa.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF 2 hapa.
MWONGOZO WA UJAZAJI MAOMBI UHAMIAJI
29-12-2025