- Views: 6K
- Replies: 2
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 06-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Maswali ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025
Msimamizi Kupigia Ku
Download PDF