TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) KAZI ZA MKATABA 18-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) KAZI ZA MKATABA 18-08-2025 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Waombaji kazi za mkataba kwa kada ya Mwandishi Mwendesha Ofisi (OMS II) wanajulishwa kuwa usaili utafanyika tarehe 25/08/2025 na 26/08/2025 Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es Salaam. Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 25/08/2025 kuanzia saa 3.00 asubuhi na Usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 26/06/2025 Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es salaam saa 3:00 Asubuhi.

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) KAZI ZA MKATABA 18-08-2025
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom