Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Waombaji kazi za mkataba kwa kada ya Mwandishi Mwendesha Ofisi (OMS II) wanajulishwa kuwa usaili utafanyika tarehe 25/08/2025 na 26/08/2025 Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es Salaam. Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 25/08/2025 kuanzia saa 3.00 asubuhi na Usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 26/06/2025 Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es salaam saa 3:00 Asubuhi.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.