Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MNUAT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13/07/2026 hadi 16/07/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa