Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/07/2026 hadi 21/07/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa