Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/07/2026 hadi 17/07/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa