Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazikuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026na hatimaye kuwapangia vituo vya kaziwaombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezoyafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa