Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Mji Halmashauri ya Mji Babati anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usailiunatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kaziwatakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa