Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Mji Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwausaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/06/2026 hadi 26/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kaziwaombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezoyafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa