Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wotewalioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/06/2026 hadi 26/06/2026 hatimaye kuwapangiavituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatiamaelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa