Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/06/2026 hadi 24/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo :-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa