Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioombakazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/06/2026 hadi 26/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vyakazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezoyafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa