Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazikuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kaziwaombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa