Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Same kwa niaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Same anapendakuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenyeusaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa