Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Maswali ya Usaili Examination Officer II
Interview Questions