Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18/11/2026 hadi 21/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Angalia orodha ya majina Shinyanga hapa
Angalia orodha ya majina Shinyanga hapa