Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Halmashauri ya wilaya ya Urambo anapenda kuwataarifu Waombaji Kaziwote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimayekuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswakuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa