Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaTaasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08/10/2025 hadi 13/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Download PDF