Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Madini (TMC), Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29/09/2025 hadi 30/01/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.