TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 22-01-2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 22-01-2026 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Madini (TMC), Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29/09/2025 hadi 30/01/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 22-01-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom