Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili MDAs NA LGAs 11-05-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 28-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-\
Angalia majina ya walioitwa kwenye usaili hapa.
Angalia majina ya walioitwa kwenye usaili hapa.

Walioitwa kwenye Usaili Ajira Portal na Utumishi 2025 / 2026 PDF
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira Portal na Utumishi 2025 / 2026 PDF Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji wote waliotuma maombi ya kazi katika MDAs na LGAs
fursazaajira.com