TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-08-2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-08-2026 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (CAWM), Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/08/2026 hadi 21/08/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

Pakua PDF hapa
PDF 2 pakua hapa
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-08-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom