Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), MDAs & LGAs, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT), Tume ya Madini (TMC), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO), Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), National Housing Corporation(NHC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18/01/2026 hadi 14/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.
- Walioitwa Kwenye Usaili NHC 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili NOAT 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili CAMARTEC 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili TIRDO 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Taifa Muhimbili 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili TEMESA 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili VETA 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Madini (TMC) 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili RUWASA 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha ARIMO 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026