Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Wakala Ya Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 28-07-2025 hadi 21-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.