TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 16-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 16-07-2025 Ajira Portal

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Wakala Ya Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 28-07-2025 hadi 21-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa.
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom