Wananchi wote mnatangaziwa kwamba, Serikali itauza kwa njia ya Mnada wa Hadhara Magari, Pikipiki, Mitambo na vifaa mbalimbali chakavu katika Mikoa ya Dodoma, Dar es salaam, Iringa, Mwanza, Geita, Morogoro, Pwani, Manyara, Arusha, Njombe, Mara, Ruvuma, Lindi, Rukwa, Mtwara, Kigoma, Kilimanjaro, Tabora, Shinyanga, Mbeya, Tanga, Singida, Katavi, Kagera na Kisiwani Unguja katika vituo na tarehe kama ilivyooneshwa hapa chini.
Ajira Mpy SeaOWL Tanzania
Nafasi za kazi
Nafasi za Kazi TANROADS Februari
Ajira Mpya 2025
Attachments