Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (3) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.