Hili hapa tangazo la nafasi za kazi 30-05-2026 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda anawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi (10) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kama ifuatavyo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa