Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa