Hili hapa tangazo la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi Saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.