TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 30-05-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 30-05-2025 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Halmashauri ya Mji Nanyamba imepata idhini ya utekelezaji wa Kibali cha Ajira Mpyachenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha Tarehe 29 Aprili, 2025 kwa ajili ya kuajiriDereva II nafasi 8, Mwandishi Mwendesha Ofisi II nafasi 9 na Msaidizi wa KumbukumbuII nafasi 5 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Ummana Utawala Bora. Hivyo, Mkurugenzi wa Mji Nanyamba anawatangazia watanzaniawenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Nanyamba, kuomba nafasiza kazi zifuatazo kuanzia leo tarehe 21/05/2025.

Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 30-05-2025
 
Back
Top Bottom