Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Kishapu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa