TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE 26-07-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE 26-07-2025 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia Kibali cha Ajira mpya chenye Kibali chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 chenye kada ya Dereva Daraja la II nafasi (12) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama iliyoainishwa hapo chini:-

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE 26-07-2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom